Karismatiki Katoliki Cccf- City Catholic Charismatic Fellowship (Cccf)

Karismatiki Katoliki Cccf- City Catholic Charismatic Fellowship (Cccf) company information, Employees & Contact Information

Karismatiki Katoliki CCCF jina rasmi ni City Catholic Charismatic Fellowship (CCCF). Ni kikundi cha Sala cha Karismatiki Katoliki kilicho chini ya Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. Kikundi hiki kilianzishwa mwaka 2009, na kinafanya huduma zake chini ya ulezi wa Parokia Kuu ya Mtakatifu Yosefu, Posta, katikati ya Jiji la Dar es Salaam. CCCF inalenga kuwawezesha waamini wote, hasa wale wanaofanya kazi au biashara katikati ya jiji, kushiriki katika sala, mafundisho, mahubiri, kusifu, kuabudu, na shughuli nyingine za kiroho kwa ajili ya kumtangaza Yesu Kristo. Malengo Makuu ya CCCF: Kuimarisha imani kwa waamini wote. Kujenga umoja wa Kanisa la Kristo. Kupanua wigo wa Injili kwa makundi mbalimbali, ikiwemo vijana, watoto, na watu wenye mahitaji maalum. Kubuni njia za kisasa za uenezaji wa Injili. Majukumu Yetu: Tumeitwa na kutumwa kuwaongoza watu wa mataifa yote kwa Yesu Kristo bila kujali dhehebu, dini, rangi, kabila, au nafasi zao katika jamii. Tunatii agizo la Bwana wetu Yesu Kristo: “Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi...” (Mathayo 28:19-20) Mahali Tunapokutana: Ukumbi wa CCCF, Ghorofa ya 3 – Jengo la Matsalamat, karibu na Kituo cha Mwendokasi Jiji Posta au Kanisa Kuu la Mt. Yosefu. Ratiba Yetu ya Sala: Kila Jumatano, kuanzia saa 11:30 jioni. Karibu Ujiunge Nasi Tufuatilie kwa semina, mafundisho, maombi, na msaada wa kiroho. Piga simu kwa maelezo zaidi. Usisahau ku-subscribe na kutembelea kurasa zetu zote kwa ajili ya mafundisho zaidi na ujumbe wa wokovu.

Company Details

Employees
3
Founded
-
Address
Mansfield St, Posta Mpya- Karibu Na Mwendokasi Jiji, Matslamat 3rd Floor,tanzania, United Republic Of
Industry
Religious Institutions
NAICS
Religious Organizations
HQ
Dar es salaam, Dar es salaa,
Looking for a particular Karismatiki Katoliki Cccf- City Catholic Charismatic Fellowship (Cccf) employee's phone or email?

Karismatiki Katoliki Cccf- City Catholic Charismatic Fellowship (Cccf) Questions

Top Karismatiki Katoliki Cccf- City Catholic Charismatic Fellowship (Cccf) Employees

Free Chrome Extension

Find emails, phones & company data instantly

Find verified emails from LinkedIn profiles
Get direct phone numbers & mobile contacts
Access company data & employee information
Works directly on LinkedIn - no copy/paste needed
Get Chrome Extension - Free

Aero Online

Your AI prospecting assistant