USWAHILI Overview
- Headquarters
- Nairobi, Nairobi City, Ke
- Industry
- Education
- Employees
- 6
- Founded
- 2021
- NAICS
-
Educational ServicesJunior CollegesOther Schools and Instruction
About USWAHILI
Uswahili (USWAHILI) ni shirika la kijamii kwa ajili ya kukuza, kuhifadhi, na kusherehekea lugha ya Kiswahili na utamaduni wake. Ni shirika lililoanzishwa kwa misingi ya umoja, uelewa, na amani katika jamii. Tunalenga kuunganisha jamii kupitia lugha ya Kiswahili na utamaduni wake. Lengo letu kuu ni kukuza umoja, amani ya jamii kwaku handaha viongozi bora. Pia kusherehekea lugha na utamaduni wa Kiswahili. Katika hatua za kielimu, Uswahili ina himarisha elimu barani Afrika iwe na tolewa katika lugha ya kiswahili kwaku saidia uhelewa bora wa maharifa na utendaji kazi bora wa ujuzi. Tuna imarisha amani, maendeleo, mazingira na uongozi bora, na kushirikiana na mashirika mengine pia na serekali kuboresha hali ya maisha ya watu, na kuwezesha maendeleo endelevu. Maono yetu ni kuunda ulimwengu ambapo lugha ya Kiswahili na utamaduni unaweza kustawi, kwa kuunda maelewano na umoja katika jamii, hususana Kuhunganisha bara la Afrika kwa lugha moja ambayo ina tuwa kilisha kimataifa. Jiunge nasi katika jitihada zetu za kuelimisha, kuunganisha, na kuhiwezesha jamii kupitia kuthamini lugha ya kiswahili, utamaduni wake na hatua za kibinadamu. Fuata sisi kujifunza zaidi kuhusu miradi yetu yenye muhimu mkubwa na jinsi unavyoweza kushiriki katika kukuza mustakabali wenye nuru kupitia lugha, utamaduni, na jamii. Pamoja, tuwe mabadiliko na kusherehekea tofauti zetu kupitia Uswahili. Uswahili kifaa muhimu kwaku imarisha na kudumisha Kiswahili ulimwenguni. Amani, haki na uhongozi bora ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Compare Similar Companies to USWAHILI
YALI Regional Leadership Center - West Africa - Dakar
Education Administration Programs
Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority
Investment Management
Climate and Development Knowledge Network
Environmental Services
Zawadie Solutions
Staffing And Recruiting
There is Hope Malawi
Non-Profit Organizations
Africa Governance Centre
Think Tanks
KAKUMA MEDIA NETWORK
Media Production
SustainMe
Non-Profit Organizations
GK TALKS
Media Production
Enactus St. Lawrence College
Non-Profit Organizations