Verified email-pattern data for Uswahili is currently limited. You can still use the company insights and contact sections below.
Uswahili (USWAHILI) ni shirika la kijamii kwa ajili ya kukuza, kuhifadhi, na kusherehekea lugha ya Kiswahili na utamaduni wake.
Ni shirika lililoanzishwa kwa misingi ya umoja, uelewa, na amani katika jamii. Tunalenga kuunganisha jamii kupitia lugha ya Kiswahili na utamaduni wake.
Lengo letu kuu ni kukuza umoja, amani ya jamii kwaku handaha viongozi bora. Pia kusherehekea lugha na utamaduni wa Kiswahili.
Katika hatua za kielimu, Uswahili ina himarisha elimu barani Afrika iwe na tolewa katika lugha ya kiswahili kwaku saidia uhelewa bora wa maharifa na utendaji kazi bora wa ujuzi.
Tuna imarisha amani, maendeleo, mazingira na uongozi bora, na kushirikiana na mashirika mengine pia na serekali kuboresha hali ya maisha ya watu, na kuwezesha maendeleo endelevu.
Maono yetu ni kuunda ulimwengu ambapo lugha ya Kiswahili na utamaduni unaweza kustawi, kwa kuunda maelewano na umoja katika jamii, hususana Kuhunganisha bara la Afrika kwa lugha moja ambayo ina tuwa kilisha kimataifa.
Jiunge nasi katika jitihada zetu za kuelimisha, kuunganisha, na kuhiwezesha jamii kupitia kuthamini lugha ya kiswahili, utamaduni wake na hatua za kibinadamu.
Fuata sisi kujifunza zaidi kuhusu miradi yetu yenye muhimu mkubwa na jinsi unavyoweza kushiriki katika kukuza mustakabali wenye nuru kupitia lugha, utamaduni, na jamii.
Pamoja, tuwe mabadiliko na kusherehekea tofauti zetu kupitia Uswahili.
Uswahili kifaa muhimu kwaku imarisha na kudumisha Kiswahili ulimwenguni.
Amani, haki na uhongozi bora ni msingi wa maendeleo ya jamii.
Company Details
- Founded
- -
- Address
- Nairobi, Ke
- Industry
- Education
- Keywords
- Utamaduni, Elimu ya lugha ya kiswahili, Uhongozi Bora, Maendeleo ya jamii, Sanaa na michezo.
- HQ
- Nairobi
- Competitors
- GK TALKS, Africa Governance Centre, YALI Regional Leadership Center - West Africa - Dakar, Climate and Development Knowledge Network, SustainMe, Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority, There is Hope Malawi, Zawadie Solutions, Enactus St. Lawrence College, KAKUMA MEDIA NETWORK.
Uswahili Questions
USWAHILI's LinkedIn profile is https://ke.linkedin.com/company/uswahili
USWAHILI's industry is
Education
USWAHILI's top competitors are
Gk Talks,
Africa Governance Centre,
Yali Regional Leadership Center - West Africa - Dakar,
Climate And Development Knowledge Network,
Sustainme,
Tanzania Investment And Special Economic Zones Authority,
There Is Hope Malawi,
Zawadie Solutions,
Enactus St. Lawrence College,
Kakuma Media Network.
USWAHILI's categories are Education
USWAHILI's founding year is 2021
Explore related pages
Related company profiles:
Free Chrome Extension
Find emails, phones & company data instantly
Find verified emails from LinkedIn profiles
Get direct phone numbers & mobile contacts
Access company data & employee information
Works directly on LinkedIn - no copy/paste needed
Aero Online
Your AI prospecting assistant
Select data to include:
Total price:
$0.00
0 records × $0.02 per record
How It Works
Get a Free Account
Sign up for a free account. No credit card required. Up to 10 free credits.
Search the #1 Contact Database
Get contact details of over 750M+ profiles across 60M companies – all with industry-leading accuracy. Sales Navigator and Recruiter users, try out our Email Finder Extension.
Use our AI-Powered Email Finder
Find business and personal emails and mobile phone numbers with exclusive coverage across niche job titles, industries, and more for unparalleled targeting. Also available via our Contact Data API.